Koffi Ollomide na hatia ya “GBV”

koffi-olomide-arrestedMaswali 5 ya msingi ambayo watu Maarufu, watu wenye Uwezo na wenye mamlaka wajiulize… ambayo yametokana na kisa cha Dhahiri alichofanya Koffi Ollomide dhidi ya Binti ambaye ni mnenguaji wa Band yake, nchini Kenya, uwanja wa Kimataifa wa Jommo kenyata.

 

  1. je unajua kuwa Ukatili wa kijinsia unamshushia mtu hadhi yake na kufuta umaarufu na heshima yake alioujenga miaka mingi kwa sekunde moja tu?
  2. je wajua kuwa huwezi tumia nguvu na uwezo na umaarufu wako kufanya ukatili wa kijinsia na na ukaficha au usichukuliwe hatua za kisheria muda wote, (za mwizi ni Arobaini)
  3. je wajua kuwa adhabu ya wananchi kujua tu mtu maarufu ni mnyanyasaji na mkatili wa kijinsia ni kali kuliko adhabu ya kisheria
  4. je wajua kuwa umaarufu, nguvu na uwezo huongezeka maradufu kwa mtu mashuhuri anaeheshimu na kujali haki za kijinsia (asipofanya hivo inakuwa kinyume chake)
  5. je wajua mantiki ya mtu maarufu kuitwa kioo cha jamii. madhala ya mtu maarufu kufanya ukatili wa kinsia huzaa uovu mwingine.

naamini ndugu zetu wenye umaarufu na Majina watachukua tukio hilo na kuwa somo tosha kabisa kwao na wafuasi wao.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s