SENGU

 

HUSSEIN F. SENGU
HUSSEIN F. SENGU

Hussein F. Sengu (shilinde), Mwanasheria (LLB), Mwalimu (Dipl); ni mwanaharakati wa Haki Binadamu, na mahususi amejikita katika haki za Wanawake na watoto, 

falsafa yake, anaamini kuwa;  Katika ujenzi wa Taifa ambalo wananchi wake wanapambana kudai haki za binadamu na usawa, harakati za kupigania kundi maalumu kama la wanawake ni muhimu sana, siri ya mafanikio ya kiuchumi kisiasa na hasa kijaii ni pale ambapo watu watapoacha unyanyasaji wa kijinsia, ukatili wa kijinsia na aina zote za ubaguzi na kugundua kuwa Binadamu sote tupo sawa, na kila mmoja anamuhitaji mwenzie katika gurudumu la maendeleo.

CONTACT; +255 784210101.                  

 Email: shilindeson@yahoo.co.uk

'TUPINGE UKATILI NA UNYANYAJI DHIDI YA WANAWAKE'
'TUPINGE UKATILI NA UNYANYAJI DHIDI YA WANAWAKE'

4 thoughts on “SENGU”

 1. nimesoma waraka huu umenigusa. mbona blog yako haina contacts kama tunakutafuta tutakupataje hata phone number ili tupate direction mr Hussein umetufungua macho sana.

  Asante my contact is 0767 959191

 2. Ni muhimu kutetea haki za watoto na wanawake ili waweze kupata heshima yao kwa Taifa. Ni muhimu kuondoa mawazo mgando yaliyotawala kwenye mila na desturi za makabila tuliyonayo ya kuona kuwa mwanamke na watoto hawana sauti ya kujiaamulia au kuwa na sauti ya kusimamaia mambo yanayowahusu.

  Hasborn L. Myenda | GBV Prevention and Community Mobilization Officer
  International Rescue Committee
  P.O BOX 259 Kasulu,Kigoma-Tanzania | Rescue.org
  T +255767298006 I

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

JINSIA NA MAENDELEO / GENDER AND DEVELOPMENT